Tuesday, February 17, 2009

Baada ya mechi na vilipe


Wachezaji na viongozi wa shein rangers wakitoka uwanjani kueleke kwenye gari mara baada ya kuikandamiza Vilipe FC ya kigamboni vijibweni.

Shein yatalii kisiwani


Viongozi wa shein rangers wakijumuika na wachezaji wao katika mapumziko katika pwani ya kigamboni kabla ya mchezo wa kirafiki na Vilipe FC. Shein ilishinda bao 1 - 0. Picha zaidi zinafuatia hapo chini.

Wachezaji na viongozi wa shein rangers wakiwa katika picha ya pamoja walipofanya ziara ya matembezi katika pwani ya bahari ya hidi kigamboni.

Monday, February 16, 2009


Kocha wa shein rangers Rashidi Said akiwa na wachezaji wake ufukweni mwa bahari ya hindi walipofanya ziara ya kimichezo kijijini vijibweni kigammboni, shein rangers iliwaadhibu wenyeji wao Vilipe FC bao 1 - 0. Vilipe FC ipo chini ya kocha maarufu nchini mstaafu wa Jeshi Maj Azizi.

Tuesday, February 3, 2009

Katibu Mkuu


Katibu mkuu shein rangers sports club ndugu Ramadhani Sunga

Kocha Rashid


Kocha mkuu wa shein rangers sports club Rashid Said a.k.a Mokake

Mwalimu wa makipa


Mwalimu wa magolikipa wa shein rangers Godfrey (Roya) akiwa mazoezini na katika uwanja wa TP sinza.

Roya kazini


Mwalimu wa magolikipa na mazoezi ya viungo wa shein rangers Godfrey (roya) akiwa kazini na timu ya U14 katika mazoezi ya kawaida ya kila siku.