Tuesday, April 28, 2009

Mabigwa wa Soka Tanzania 2008/2009


Mabigwa wa soka Tanzania YOUNG AFRICANS katika picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa kombe lao la ubingwa kwa msimu wa 2008/2009 katika uwanja wa Uhuru jiji dar es salaam.

Mrisho Ngasa ajaribiwa West Ham


Kiungo mshambuliaji wa yanga mrisho ngasa akiwa na kocha Gianfranco zola wa timu ya West Ham ya Uingereza alipokwenda kwa majaribio ya soka la kulipwa. Mdogo wake mrisho ngasa ni mchezaji wa shein rangers Ally Ngasa.