Tuesday, June 5, 2012

SHEIN RANGERS KUPAMBANA NA REAL TALLENT

SIKU YA ALHAMISI TAREHE 7 JUNE 2012 TIMU YA SHEIN RANGERS SC ITACHEZA MCHEZO WA KUJIPIMA NGUVU NA TIMU YA REAL TALLENT YA MIKOCHENI B. MCHEZO HUO UTACHEZWA SAA KUMI JIONI KATIKA UWANJA WA SHULE YA MSINGI USHINDI MIKOCHENI B. PIA TIMU YA SHEIN RANGERS INACHUKULIA MCHEZO HUO KAMA KIPIMO TOSHA KWA MAANDALIZI YA LIGI YA MSHIKAMANO MZUNGUKO WA PILI NA MAANDALIZI YA LIGI YA TFF.

2 comments:

  1. Ni furaha ilioje kuona mpo nasi kwani ni muda sasa mlikuwa hampatikani. Kwanza Heri sana kwa mwaka mpya. Na halafu nawatakieni kila la kheri kwa kila mtakalo tenda.

    ReplyDelete
  2. Asante sana, kutokana na matatizo ya hapa na pale tulipotea hewani na sasa tumerudi

    ReplyDelete