Tuesday, January 8, 2013

LIGI DARAJA LA NNE SHEIN KUNDI "D"

LIGI DARAJA LA NNE KINONDONI: TIMU YA SHEIN RANGERS IMEPANGWA KUNDI "D" PAMOJA NA TIMU ZIFUATAZO:- KIJITONYAMA UNITED, THE SPARROWS, TP AFRICA, RASCO FC, MAKUMBUSHO TALLENT, CHANGANYIKENI, MIKOCHENI UNITED, GOLDEN BUSH NA VICTOR SPORTS CLUB.

Wednesday, January 2, 2013

HERI YA MWAKA MPYA 2013

Uongozi na wachezaji wa timu ya Shein Rangers Sports Club unawatakia wanamichezo wote duniani heri ya mwaka mpya 2013.

Pia unawakumbusha wanamichezo wote kurekebisha makosa ya kimichezo yaliyojitokeza mwaka jana na kuanza mwaka mpya kwa nguvu mpya.

SHEIN RANGERS UMOJA NI NGUVU, UTENGANO NI UDHAIFU, MSHIKAMANO DAIMA.