Saturday, April 12, 2014

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA KOCHA WA SHEIN RANGERS
Nikiwa kocha wa Shein Rangers najivunia kuiongoza timu yng ktk michezo 16 bila ya kufungwa ogopa kukutana na washambuliaj hawa Jumanne Goa magoli 14 na Victor Wenslaus(Agogo)magoli 7.
 
Hayo ni maneno ya Kocha  Mkuu wa timu ya Shein Rangers Sports Club ndugu Rashid Said kupitia ukurasa wake maalum wa Facebook.

Sunday, April 6, 2014

LIGI DARALA LA NNE 2014/15

LIGI DARAJA LA NNE WILAYA YA KINONDONI 2014/15:- Leo timu ya Shein Rangers inapambana na Real Kamoramba katika uwanja wa Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere saa kumi jioni.

Nia ya timu ya Shein Rangers kwa msimu huu ni kupanda Daraja panapo majaaliwa ya Mwenyezi Mungu, Ndugu wapenda michezo, wadau wa Shein na watu wote tunaomba ushirikiano wenu ili kufanikisha hili.