Thursday, July 24, 2014

VIJANA WA SHEIN WAAMKA

Wanachama vijana wa timu ya Shein Rangers Sports Club wameamka na wadhamiria kufanya mambo makubwa ya maendeleo kwa timu yao, wameanza kwa kufungua tawi lao maeneo jirani na makao makuu ya timu, nini kinafata? tusubiri nguvu ya vijana.

Saturday, July 19, 2014

SHEIN KUANZA MZUNGUKO WA PILI JUMATATU

LIGI DARAJA LA NNE WILAYA YA KINONDONI: Timu ya Shein Rangers Sc itaanza mzunguko wa pili wa ligi hiyo siku ya Jumatatu tarehe 20 Jul 2014 kwa kupambana na timu ya KISA ya Magomeni. Muda saa 10:00 Jioni Uwanja Shule ya Msingi Mwalimu Nyerere Magomeni

Thursday, July 3, 2014

KADI ZA WANACHAMA SHEIN RANGERS ZIMETOKA

Kwa wanaofatilia Shein Rangers SC kupitia Blog hii na wanapenda kuwa wanachama wanaweza kuwasiliana nasi kupitia  simu namba 0784 251001 au 0717 294876 kwa maelekezo zaidi.

Kwa mujibu wa Katiba ya Shein Rangers Sports Club (Sura ya tatu 3.0 (a) uanachama) uanachama utakuwa wazi kwa watu wote wasiopungua umri wa miaka 14 na kuendelea